Top Banner

bet1app

Jinsi ya kubet

Watu wengi siku hizi wamekua wakichangamkia fursa ya kupiga hela kwa kutumia michezo ya kubahatisha. Unaweza kuwa mmoja kati yao baada ya kumaliza kusoma post hii.

Leo tutaangalia jinsi ya kubet mtandaoni kwa namna rahisi kabisa. Tutatumia kampuni ya Mkekabet kama mfano. Nimechagua Mkekabet kwa sababu ni rahisi kucheza na unaweza kucheza hata kwa kiwango kidogo tu cha pesa bila kusahau ofa wanazotoa kwa watumiaji wao.

Tuanze kwa kuangalia maana ya kubet au kubashiri. Hiki ni kitendo cha kutabiri matokeo yatakavyokuwa baada ya tukio kupita mfano kutabiri kama kitu fulani kitatokea au la. Unaweza kutabiri matokeo ya mchezo fulani.

Katika Mkekabet utatabiri matokeo ya mechi mbalimbali kwa kuchagua kuwa timu itashinda itafungwa au ita droo. Pia unaweza kubashiri matukio mengine yanayotokea uwanjani kama timu ya kwanza kufunga goli, timu zote zitafunga goli na idadi ya kona zitakazopigwa katika mchezo.

Sasa tuanze hatua zitakazokuwezesha kuanza kucheza ili uweze kushinda. Maliza kusoma hatua zote kwanza halafu tumia link iliyopo mwisho kuingia na kujisajili kutokana na hatua zinavyoeleza

Kujisajili

Kwanza kabisa inabidi uingie katika tovuti ya Mkeka bet ili uweze kufungua akaunti(link ya mkekabet iko chini kabisa katika post hii). Utafungua akaunti kwa kutumia namba yako ya simu. Namba hii ndio itakayotumika kupokea pesa kama ukishinda.Kama utapenda badilisha lugha kuwa kiswahili ili iwe rahisi zaidi. Bonyeza sehemu iliyoandikwa menyu kama inavyoonekana hapo chini kisha kwenye 'English' halafu badili kuwa kiswahili

    

Baada ya hapo jiunge kwa kuandika namba yako ya simu kisha bonyeza Jiunge Sasa. Sehemu ya code of coupon unaweza achana nayoUtapokea PIN katika simu yako kwa njia ya SMS. Kama hautapokea PIN tuma neno PIN kwenda namba 15739 kisha utapokea. Kama njia hiyo ya kupata pin haifanyi kazi piga namba  0659 071070. 

Ukishapata PIN bonyeza kwenye neno INGIA kisha weka namba yako ya simu na PIN halafu bonyeza ingia.Sasa umeshajisajili, utakachotakiwa ni kuanza kubashiri. Bonyeza sehemu iliyoandikwa Mpira wa miguu kwa ajili ya kubet soka. Unaweza chagua michezo mingine pia kama Tennis na mingineZitakuja mechi nyingi zinazofata. Hapa utachagua nani atashinda, nani atashindwa ama mechi itakua droo. Mfumo wa uchaguzi umewekwa katika odds. Odds ni namba zinazowekwa kuendana na uwezo wa timu husika mfano katika picha chini mechi ya kwanza kabisa ni Brighton na Crystal Palace. Odd ya Brighton kushinda ni 2.20, ya Crystal Palace kushinda ni 3.60 na ya mechi kuisha droo ni 3.20.

Maana yake ni kwamba kama utachagua Crystal Palace kushinda na ikashinda pesa uliyoweka itazidishwa na odd ili kujua umeshinda kiasi gani. Yaani labda 2,000 x 3.60 = 7,200 .Utashinda Tsh 7,200 kama Brighton akishinda na hivyo hivyo kwa wengine.

Hatua ya kufanya hapa ni kubonyeza katika odd ambayo unaichagua, mfano mimi (angalia picha chini) nimechagua Chelsea atashinda, Liverpool atashinda na mechi ya Everton na Man U itaisha suluhu. Ukichagua mechi nyingi zaidi uwezekano wa kupata hela nyingi unakua mkubwa zaidi huku ukipunguza uwezekano wa kubashiri kwa usahihi.Ukishafanya uchaguzi wako wa timu, Unachotakiwa kufanya ni kuweka pesa katika akaunti yako ya Mkekabet (Unaweza kuweka hata kabla).

Hatua za kuweka pesa

Kwa M-Pesa

- Nenda kwenye menyu ya M-pesa *150*00#

- Chagua Lipa kwa Mpesa

- Weka namba ya Kampuni 238844

- Weka namba ya kumbukumbu MKEKA/12345

- Weka kiasi cha pesa

- Weka namba ya siri ya M-pesa

- Utapokea ujumbe wa uthibitisho kutoka M-pesa na MKEKABET kuthibitisha muamala umefanyika kikamilifu.

Kwa TigoPesa

- Nenda kwenye menyu ya Tigopesa *150*01#

- Chagua Lipa Bili

- Weka namba ya Kampuni 238844

- Weka namba ya kumbukumbu MKEKA/12345

- Weka kiasi cha pesa

- Weka namba ya siri ya Tigopesa

- Utapokea ujumbe wa uthibitisho kutoka Tigo pesa na MKEKABET kuthibitisha muamala umefanyika kikamilifu.

Kwa Airtel Money

- Nenda kwenye menyu ya Tigopesa *150*60#

- Chagua Lipa Bili

- Weka namba ya Kampuni 238844

- Weka namba ya kumbukumbu MKEKA/12345

- Weka kiasi cha pesa

- Weka namba ya siri ya Airtel Money

- Utapokea ujumbe wa uthibitisho kutoka Airtel Money na MKEKABET kuthibitisha muamala umefanyika kikamilifu.

Ukimaliza hatua hiyo ya kuweka pesa sasa bonyeza kwenye 'Kikapu ya beti'Weka kiasi unachotumia kubetia katika sehemu iliyoandikwa [betslip amount]. Kwa pembeni chini utaona hela unayotarajia kupata kama utabashiri kwa usahihi machaguo yako yoteUkimaliza hatua ya mwisho ni kubonyeza "Accept Changes & Bet Now"Sasa unaweza kusubiri mechi ziishe uvune mapesa kama utakuwa umeweka mkeka wa uhakika. Nakutakia bahati njema.

Link ya kujiunga ⇒ Mkekabet

Pia unaweza kuishindia mamilioni kwa kucheza Mkekabet Jackpot

Post a Comment

0 Comments