Jinsi ya kucheza biko
1.Amua mtandao utakaotumia kati ya Vodacom,Tigo au Airtel2.Piga menu ya mtandao wako kama inavyoonekaana katika picha chini.
3.Chagua lipa bili kisha weka namba ya kampuni 505050
4.Weka kumbukumbu ya malipo 2456
5.Weka kiasi unachotaka kuchezea (kiasi ni kuanzia 1000 kwenda juu)
Dondoo
>Kucheza mchezo huu lazima uwe juu ya umri wa miaka 18
>Kushinda kunategemea na bahati, kwa kucheza mara nyingi unajiongezea uwezekano wa kushinda
16 Comments
Ooooh thanks for you are information .
ReplyDeleteIwant your biko mobile phone
ReplyDeleteKaribu sana Baraka
ReplyDelete- 0746811190
ReplyDeleteOr you can use email - info@bikosports.co.tz
Maelekezo ni muhim
ReplyDeleteNapenda kucheza biko
ReplyDeleteNi kweli Ridhiwanfasihiusi
ReplyDeleteSafi sana Ridhwan
ReplyDeletesijui namna mshindi anavyopatikana
ReplyDeleteMshindi anapatikana kwa kutumia program inayochagua mshindi kwa bahati. Ina maana kama ukibet zaidi unakua umeongeza nafasi kubwa zaidi ya bahati kukuangukia kama mshindi.
ReplyDeleteJe unawezaje kushinda
ReplyDeleteNa douload vip
ReplyDeleteNi namna gani ya kucheza BIKO baada ya kuwa umeweka pesa?
ReplyDeleteNapenda kucheza Biko lkn sijui Kama nitashinda je mshindi anapatikana kwa kucheza Mara nyingi zaidi au hata Mara moja unaweza bahatika
ReplyDeleteHe kuna muda maalum wa kucheza au kutuma dau langu kwa BIKO?
ReplyDeleteHakuna muda maalum, unaweza kutuma dau lako muda wowote
DeleteAcha maoni yako hapa