Jinsi ya kucheza tatu mzuka
1.Chagua mtandao unaotaka kutumia, vodacom, tigo, airtel au halotel2.Ingiza menu ya mpesa, tigopesa, halopesa au airtel money
3. Chagua Lipia Bili kisha namba ya kampuni weka 555111
4.Kwenye namba ya kumbukumbu, ingiza namba zako Tatu za bahati kuanzia 0-9 zikifuatiwa na neno WEB, mfano 637 WEB
5.Ingiza kiasi chochote cha fedha kama dau lako. Unaweza kuweka kiasi chochote kuanzia Sh 500 hadi 30,000
6.Utapokea tiketi yako kwa njia ya SMS.
Ukishinda utapokea SMS na pesa uliyoshinda itaingizwa moja kwa moja kwenye simu yako ( Kupitia Mpesa, Tigo Pesa, HaloPesa au Airtel Money)

Dondoo
Ili kushinda mara 200 inabidi namba zako za bahati zilingane katika mpangilio sawa na namba za ushindi toka TatuMzuka
Nadhani tumeona jinsi ya kucheza tatu mzuka kwa M Pesa, AirtelMoney, HaloPesa na TigoPesa.
1 Comments
napenda mafanikio
ReplyDeleteAcha maoni yako hapa