Kujisajili Mkekabet ni rahisi sana. Hatua zote za kufuata zimeelezewa katika post hii.
Sasa tuangalie jinsi ya kujiunga na Mkeka bet
Kwanza kabisa inabidi uingie katika tovuti ya Mkeka bet ili uweze kufungua akaunti. Utafungua akaunti kwa kutumia namba yako ya simu. Namba hii ndio itakayotumika kupokea pesa kama ukishinda.
Ingia katika ukurasa wa kujisajili mkekabet kwa kutumia link hii ⇒ Mkekabet

Kama utapenda badilisha lugha kuwa kiswahili ili iwe rahisi zaidi. Bonyeza sehemu iliyoandikwa menyu kama inavyoonekana hapo chini kisha kwenye 'English' halafu badili kuwa kiswahili


Baada ya hapo jiunge kwa kuandika namba yako ya simu kisha bonyeza Jiunge Sasa. Sehemu ya code of coupon unaweza achana nayo

Utapokea PIN katika simu yako kwa njia ya SMS. Kama hautapokea PIN tuma neno PIN kwenda namba 15739 kisha utapokea. Kama njia hiyo ya kupata pin haifanyi kazi piga namba 0659 071070.
Ukishapata PIN bonyeza kwenye neno INGIA kisha weka namba yako ya simu na PIN halafu bonyeza ingia.

Sasa umeshajisajili, utakachotakiwa ni kuanza kubashiri. Bonyeza sehemu iliyoandikwa Mpira wa miguu kwa ajili ya kubet soka. Unaweza chagua michezo mingine pia kama Tennis na mingine

Link ya kujiunga
Kama bado haujaelewa vizuri na kuangalia vitu kama jinsi ya kuweka pesa katika akaunti yako ya Mkeka bet basi soma hii ( Mwongozo wa kubeti kupitia Mkekabet kwa wanaobashiri kwa mara ya kwanza ).
Kama bado haujaelewa vizuri na kuangalia vitu kama jinsi ya kuweka pesa katika akaunti yako ya Mkeka bet basi soma hii ( Mwongozo wa kubeti kupitia Mkekabet kwa wanaobashiri kwa mara ya kwanza ).
1 Comments
Mkeka beti naipenda
ReplyDeleteAcha maoni yako hapa