Top Banner

bet1app

Mwongozo wa kubashiri Mkekabet kwa mabingwa wa kubet

Karibu!, Mkekabet ni mahali sahihi pa kutumia maujanja yako kupata mkwanja.

Mwongozo huu ni kwa wale mabingwa wa kuweka mikeka mitandaoni ila wangependa kufahamu vitu kadhaa kuhusu mkekabet. Kama haufahamu kabisa kubashiri na unataka kuanza soma (Mwongozo wa kubeti kupitia Mkekabet kwa wanaobashiri kwa mara ya kwanza), na kama wewe unafahamu jinsi ya kubeti lakini haujawahi kutumia Mkekabet basi soma hii ( Mwongozo wa kubashiri Mkekabet kwa ambao hawajawahi kubet kupitia Mkekabet ).

Tuangalie ni kwa nini inalipa kubashiri kwa kutumia Mkekabet. Ukibashiri kwa kutumia Mkeka bet utapata ofa nyingi zitakazosababisha wewe kufaidi zaidi katika mikeka yako utakayoweka. Baadhi ya ofa zinazopatikana ni kama:

  • Champions League Winner Special. Chagua timu moja inayoshiriki Champions League na utapata %10 ya free bet kama timuliyoichagua itashinda.
  • One Out Money Back. Utarudishiwa hela yako kama utafeli mechi moja katika mkeka wako.
  • Money back. Unarudishiwa hela yako kama bet yako ya kwanza itafeli.
  • Cash Out. Unaweza kutoa hela yako hata kama mechi haijaisha. 

Kujisajili Mkekabet

Kwanza kabisa inabidi uingie katika tovuti ya Mkeka bet ili uweze kufungua akaunti. Ingia katika ukurasa wa kujisajili kwa kutumia link hii ⇒ Mkekabet


Mambo muhimu ya kufahamu


Wakati wa kujisajili, kama hautapokea PIN tuma neno PIN kwenda namba 15739 kisha utapokea. Kama njia hiyo ya kupata pin haifanyi kazi piga namba  0659 071070. 

Ukishapata PIN bonyeza kwenye neno INGIA kisha weka namba yako ya simu na PIN halafu bonyeza ingia.

Unaweza kuweka pesa kwa kutumia MPesa, TigoPesa na AirtelMoney
Namba ya Kampuni ni 238844
Namba ya kumbukumbu MKEKA/12345
 

Jiunge Sasa Ushinde na Mkekabet

 
Sasa unaweza kusubiri mechi ziishe uvune mapesa kama utakuwa umeweka mkeka wa uhakika. Nakutakia bahati njema.

Post a Comment

0 Comments