Top Banner

bet1app

Mkekabet Jackpot

Mkekabet Jackpot ni jackpot ya kampuni Mkekabet inayokuwezesha kushinda hata zaidi ya Tsh milioni tano(5,000,000). Ili uweze kuwa mshindi wa jackpot inabidi upatie mechi 12 kati ya mechi 13 zilizochaguliwa kwa kipindi husika. Pia kunakuwa kuna zawadi kama ukipatia mechi 11 kati ya 13 au mechi 10 kati ya 13 kama inavyoonekana katika picha hapo chini.

Unacheza kwa kuweka Tsh 1,000 na unaweza kujishindia mamilioni kulingana na idadi ya mechi utakazopatia.

Kama mshindi akiwa zaidi ya mmoja basi watagawana hela iliyopangwa kwa ajili ya jackpot ya wakati husika.

Update: Kwa sasa Mkekabet imesitisha huduma yao ya jackpot. Lakini usiwe na wasiwasi kwa sababu kuna chaguo jingine zuri linalofanya kazi kama Mkeka bet jackpot. Hapa naongelea Premierbet Jackpot

Jaribu sasa kucheza Premierbet Jackpot

Post a Comment

2 Comments

  1. Sasa kwa mfano ukipata mechi kumi ama kumi na moja kati ya 13 na mshiko ni milioni mia tano na zaidi je utapewa shilingi ngapi?

    ReplyDelete
  2. Mechi 10 unapata 1,000,000 na mechi 11 unapata 3,000,000

    ReplyDelete

Acha maoni yako hapa