Mkekabet Tanzania ni kampuni ya michezo ya kubahatisha inayokuwezesha kubashiri matokeo ya michezo mbalimbali. Baadhi ya michezo inayopatikana ni American Football, Baseball, Mpira wa kikapu, Ndondi, Cricket, Mpira wa Miguu, Golf, Handball, Ice Hockey, Tennis na Volleyball.
Unaweza kucheza Mkekabet kwa kutumia mitandao ya MPesa, TigoPesa na AirtelMoney. Namba ya kampuni ni 238844 na Kumbukumbu Namba ni MKEKA katika mitandao yote yani Vodacom, Tigo na Airtel.
Ofa zinazopatikana Mkekabet Tanzania
Ukibashiri kwa kutumia Mkeka bet utapata ofa nyingi zitakazosababisha wewe kufaidi zaidi katika mikeka yako utakayoweka. Baadhi ya ofa zinazopatikana ni kama zifuatazo hapo chini, ukitumia link hizo utaenda moja kwa moja kujiunga na kupata ofa husika:
Champions League Winner Special. Chagua timu moja inayoshiriki Champions League na utapata %10 ya free bet kama timuliyoichagua itashinda.
One Out Money Back. Utarudishiwa hela yako kama utafeli mechi moja katika mkeka wako.
Money back. Unarudishiwa hela yako kama bet yako ya kwanza itafeli.
Cash Out. Unaweza kutoa hela yako hata kama mechi haijaisha.
Unaweza kushinda kama utakua makini. Jaribu bahati yako leo
Mwongozo wa kubashiri kutumia Mkeka bet
Kama unahitaji kupata mwongozo kidogo ili uweze kuweka bet yako kwa uhakika zaidi unaweza angalia post kwa ajili hiyo inayopatikana kwa jina Mwongozo wa kubashiri kupitia Mkekabet. Kutakua na chaguo kutokana na uwezo wako, yani kama wewe uliwahi kubet, umewahi kubet kwa kutumia kampuni nyingine au haujawahi kabisa.
Huduma kwa Wateja
Unaweza kuchat na mtoa huduma kwa wateja moja kwa moja kupitia tovuti yao ya mkekabet.com kwa kubonyeza sehemu ya Live chat iliyopo chini kulia.
Namba ya simu 0659 071070.
Email customercare@raindigitaltz.com .
Mkekabet Tanzania App
App inapatikana katika mfumo wa Android
Unaweza pia kutumia app ya Bet1 inayokuwezesha kubet kupitia kampuni yoyote ile unayoihitaji. Jaribu sasa app, iangalie hapa
Mkeka bet Jackpot
Kampuni ya Mkeka bet ina jackpot inayokuwezesha kushinda hata zaidi ya Tsh milioni tano(5,000,000).
Kumbuka
Kama una umri chini ya miaka 18 hauruhusiwi kucheza mchezo huu.
Kubet sio ajira, kuwa na kiasi
Vigezo na masharti kuzingatiwa.
0 Comments
Acha maoni yako hapa