Top Banner

bet1app

Mkekabet app download for Android

Mkekabet app inapatikana ku download kwa ajili ya Android ili uweze kufaidi ushindi katika Mkekabet kiganjani mwako. Ni rahisi kutumia na kuifikia wakati wowote.

Hauwezi kuipata app hii kupitia PlayStore kwa sababu hawaruhusu apps zote za betting katika Playstore.

Ili uweze ku download na kutumia app ya Mkekabet free inabidi ufuate hatua zifuatazo

1. Download Mkekabet App free , link ipo baada ya maelezo yote

2. App ikimaliza kudownload ibonyeze itakwambia "For security reason your phone is set.....". hiyo ni kwa sababu unajaribu ku install app ambayo haitoki playstore. Ukifika hapo bonyeza "SETTINGS", tafuta mahali pameandikwa 'Unknown sources' washa kwa kubonyeza alama ya swichi iliyopo mbele ya maneno hayo. Alafu bonyeza OK.

Sasa unaweza kurudi na ku install app yako upya. Kama haufahamu utaipata wapi nenda kwenye app ya File Manager kwenye simu yako alafu bonyeza kwenye Apps, itafute app yako kisha ibonyeze ili uweze ku install.

3. Mwisho enjoy app yako. Tuandikie kwenye comment hapo chini kama umefanikiwa au umekutana na tatizo lolote.

Link ya kudownload => Mkekabet App

Post a Comment

0 Comments